MSIKITI WA UKRAINE WALIPULIWA NA JESHI LA URUSSI

 


Serikali ya Ukraine imesema jeshi la Urusi limeshambulia kwa mizinga msikiti unaowahifadhi zaidi ya watu 80 leo katika  mji unaozingirwa wa Mariupol .

Taarifa ya serikali haikuwa na ripoti  zaidi  za kuwepo kwa majeruhi.

Comments