Posts

Showing posts with the label Habari za leo Tanzania Africa

MARAIS WA AFRIKA WAAZIMIA KUWAUNGANISHA WAAFRIKA MILIONI 300 KWENYE NISHATI

Image
Trilioni 110/- zatengwa kwa ajili ya mpango wa MISSION300 Marais wa Afrika wameazimia kuchukua hatua kubwa katika kuhakikisha upatikanaji wa nishati barani Afrika, wakitenga jumla ya trilioni 110/- ili kuwaunganisha Waafrika milioni 300 kwenye huduma za nishati. Mpango huo, unaojulikana kama MISSION300, unalenga kuboresha maisha ya mamilioni ya watu ambao bado hawajafikiwa na nishati ya uhakika, huku viongozi wakisisitiza umuhimu wa usimamizi bora wa fedha hizi ili kuhakikisha matokeo chanya kwa wananchi. “Tunataka kuona matokeo chanya kwa hawa watu milioni 300 watakaoguswa na MISSION300, lakini tunasisitiza umuhimu wa kusimamia fedha vizuri,” alisema mmoja wa viongozi katika mkutano huo. Mpango huu unatarajiwa kuleta maendeleo makubwa katika sekta ya nishati, kupunguza umaskini wa nishati, na kuongeza fursa za kiuchumi kwa jamii mbalimbali barani Afrika.

KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO TANZANIA

Image
Mtazamaji wa Nica blogu Karibu upitie vichwa vya habari katika kurasa za mbele za magazeti ya leo nchini tarehe  05   Disemba   2024.