MTOTO WA KIUKRENI AKITOROKA VITA PEKE YAKE

 

Mvulana wa Kiukreni akilia huku akitoroka peke yake vita Ukraine  juzi tarehe 10/3/2022 .


Mtoto huyo  alilazimika kukimbia kutoka nchi yake kwenda Poland peke yake akiwa amebeba begi la plastiki, pasipoti, na habari fulani iliyoandikwa kwenye kiganja chake .


Mama wa mtoto huyo hakuwepo kwa sababu alibaki kuwahudumia wazazi wake ambao walikuwa wagonjwa.

Comments