RAIS MWINYI AZUNGUMZIA CHANGAMOTO YA MAJI AFRICA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema nchi nyingi za Afrika zinakabiliwa na changamoto ya kukauka kwa maji ikiwemo Zanzibar hivyo kunahitaji mkakati wa pamoja kukabiliana na tatizo hilo.
Dkt. Mwinyi ameyasema hayo jana Ijumaa Machi 11, 2022 wakati akifungua mkutano wa wadau wa ngazi ya juu wa ushirikiano katika uwekezaji wa Sekta ya Maji Kusini mwa Afrika (GWPSA) uliofanyika Hoteli ya Kiwengwa Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja.
ENGLISH 👇
The President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, Dr. Hussein Mwinyi said many African countries are facing the challenge of drying up water including Zanzibar so it needs a joint strategy to address the problem.
Dr. Mwinyi made the remarks on Friday, March 11, 2022 while opening a high-level stakeholder meeting on investment in the South African Water Sector (GWPSA) held at the Kiwengwa Melia Hotel in North Unguja Region.
Comments