URUSSI YAIGEUKIA CHINA KUOMBA MSAADA


 Urusi yaiomba China msaada wa kijeshi, zikiwemo ndege zisizo na rubani, pamoja na usaidizi wa kiuchumi ili kuendeleza uvamizi wao bila sababu nchini Ukraine Marekani pia imeonya kwamba msaada wowote kwa Moscow utakabiliwa na madhara.

English 👇

RUSSIA TURNS TO CHINA FOR AID 

Russia is asking China for military support, including drones, as well as economic assistance to continue their unprovoked invasion in Ukraine. 

The U.S. has also warned that any assistance to Moscow will be met with consequences.

Comments