Posts

WANAJESHI WA URUSSI WAUAWA

Image
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetoa taarifa kuhusu vifo va Wanajeshi wake pamoja na majeruhi – kwa mara ya pili tu – ikidai kuwa Wanajeshi wake 1,351 wameuawa na wengine 3,825 kujeruhiwa, shirika la habari la Ria Novosti linaripoti. Vyanzo vya kijeshi vya Ukraine vimekadiria kuwa wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa, ingawa idadi hiyo inaweza kujumuisha majeruhi pamoja na vifo. Idara ya ujasusi ya Marekani imesema huenda Wanajeshi wa Urusi waliouawa katika vita hiyo ni zaidi ya nusu ya idadi hiyo inayodaiwa na Ukraine. Taarifa ya kwanza kutoka Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu majeruhi ilikuwa tarehe 02 Machi, na ilisema kuwa Wanajeshi 498 waliuawa tangu uvamizi huo ulioingia mwezi wa pili sasa. Gazeti la Komsomolskaya Pravda (KP) lilichapisha makala mtandaoni iliyonukuu Wizara ya uli6nzi ikisema wanajeshi 9,861 wa Urusi waliuawa katika mzozo huo. Baadaye, sehemu ya makala hiyo iliondolewa na mhariri wa KP aliiambia BBC kuwa taarifa hizo zilitokana na udukuzi.

JIFUNZE KUSAMEHE

Image
*_JE WAJUA?_* Kama ulikua huijui ndege ya LIBYA iliokuwa iende UGANDA kumsaidia Iddi Amini kwenye Vita vya KAGERA lakini ikapotezwa njia na kutua TANZANIA wacha nikufahamishe""      Ilikuwa mwaka 1978-1979 majasusi wa Tanzania wakiongozwa na wataalamu wa mbinu, Meja Jeneral Kiwelu akiongoza Idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) na Hassy Kitine akiongoza Tawi Maalumu la Ujasusi Tanzania (leo TISS), waliziongoza medani za vita nchini Uganda.     Wakati vita imepamba moto, Iddi Amini Dada wa Uganda aliomba msaada wa kijeshi kutoka Libya ambapo Rais Muammar Gadaffi alimsaidia askari, vifaru na makombora ya kisasa.     Taarifu za msaada wa kijeshi wa Libya ziliifikia Idara ya Ujasusi wa Kijeshi nchini Tanzania, iliyokuwa chini ya Meja Jenerali Kiwelu, wakati huo.    Hakukuwa na chaguo zaidi ya kukabiliana na hali hiyo.     Majasusi wa Tanzania, kwa kutumia wale waliopandikizwa kwenye uwanda wa mawasiliano eneo la maziwa mak...

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 20/3/2022

Image
  Karibu kusoma kurasa za mbele za magazeti ya leo Tanzania.

MAGAZETI YA LEO TAREHE 19/3/2022

Image
  Karibu usome kurasa za mbele za magazeti ya leo Tanzania.

MAGAZETI YA LEO 17/3/2022

Image
  Karibu upate kusoma kurasa za mbele za magazeti ya leo nchini Tanzania.

MAGAZETINI LEO

Image
  Karibu Prime News Digital usome kurasa za mbele za magazeti ya leo tarehe 16/3/2022.