MANENO YA PAPA FRANCIS KUHUSU YANAYOENDELEA UKRAINE NA RUSIA

 

KAULI YA PAPA FRANCIS DHIDI YA UKRAINE NA RUSIA 

Kufuatia vitendo vya kuashiria vita vinavyoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema hatari ya vita ilmesababisha maumivu makali moyoni mwake.


Ametoa wito kwa watu wote kutumia siku ya Machi 2, 2022 ambayo ni Jumatano ya Majivu, kufunga na kuiombea Ukraine.


Ripoti zinaonesha tayari Russia imeanza kuishambulia Ukraine. Hata hivyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema watashinda vita hiyo. Nukuu ya papa  “Call to prayer and fasting requested by Pope Francis for March 2, 2022 


Pope Francis: "I have great pain in my heart over the worsening situation in Ukraine,"


"I would like all those who have the political

responsibility to make a serious examination of

conscience before God, who is the God of peace

and not of war... He wants us to be brothers and

not enemies. I pray that all parties involved will

refrain from any action that will cause even more

suffering for people, destabilizing coexistence

among nations and undermining international law."


"And now, I would like to appeal to everyone,

believers and non-believers alike. Jesus taught us

that the diabolical evil of violence is answered

with the weapons of God, with prayer and

fasting,"


"I invite everyone to make next March 2, Ash

Wednesday, a day of fasting for peace. I

encourage believers in a special way to devote

themselves intensely to prayer and fasting on that

day. May the Queen of Peace preserve the world

from the madness of war."

Mwisho wa kunukuu.


Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA KWA WATOTO

SERIKALI YAHAKIKISHA USAFIRI BORA BRT AWAMU YA PILI

RAIS WA CABO VERDE ASISITIZA UTAWALA BORA NA ULIPAJI FIDIA KWA AFRIKA KATIKA UFUNGUZI WA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA