RUSSIA V/S UKRAINE MUBASHARA
Mgogoro wa Russia-Ukraine Mgogoro Umeripotiwa mubashara Kuanzia saa 09:48 asubuhi ya leo 25/2/2022 hadi muda huu huku milipuko mikubwa ikiitikisa Kyiv, mji mkuu wa Ukraine.
India inapanga kuwahamisha tena raia wake huku ripoti zikieleza kuwa kuna zaidi ya wanafunzi 400 wakuhamisha , Wakati huohuo Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameelezea kutoridhishwa kwake na muungano wa mataifa ya magharibi
za muungano dhidi ya Moscow.
Rais wa Urusi Vladimir Putin jana Alhamisi alitangaza operesheni ya kijeshi nchini Ukraine, akidai inalenga kuwalinda raia na aliongeza kuwa Urusi haina lengo la kuikalia kwa mabavu Ukraine Pata habari zote kuhusu Mgogoro wa Russia-Ukraine hapa:
Comments