UJUE MFUMO WA MAKOMBORA AINA YA DEAD HAND

DEAD HAND au MKONO WA MFU ni mojawapo ya MIFUMO HATARI NA YA KUTISHA sana iliyotumiwa wakati wa ENZI YA VITA BARIDI kati ya MATAIFA YA MAGHARIBI NA UMOJA WA KISOVIET ulioongozwa na URUSI. Mfumo huu umeundwa huko URUSI kwa ajili kurusha makombora ya NYUKLIA wenyewe bila kuhitaji usaidizi wa BINADAMU. Mfumo huu ufanya kazi wenyewe pindi unapohisi kuna shambilio la KINYUKLIA dhidi ya URUSI.

Kwa hiyo,  hata kama kutakuwa na SHAMBULIZI la KINYUKLIA la kushtukiza dhidi ya URUSI na kisha viongozi wote wa juu wa URUSI wakafa kwenye shambilio hilo, mfumo huu utaweza kuhisi viongozi wa juu wa URUSI wamekufa, na hivyo utarusha MAKOMBORA YA NYUKLIA wenyewe bila kusubiri au kupewa AMRI na BINADAMU. Mfumo huu unaweza kuhisi viongozi hao wamekufa kutokana na CHIP au Kadi za komputa ambazo zimefungwa kwenye MIILI ya VIONGOZI wakuu wa URUSI, pindi zinapoacha kufanya kazi kutokana na mwili wa mwenye CHIP au Kadi kuwa umekufa.

Kwa kifupi,  DEAD HAND hufanya kazi Kwa kurusha MAKOMBORA MAALUM yanayojulikana kama SS-17 pindi unapogundua kuna ISHARA ya TETEMEKO la mlipuko wa NYUKLIA kwenye ardhi ya URUSI au unapogundua NJIA za MAWASILIANO muhimu kwenye NCHI zimeharibiwa kwa shambulio, au vilevile unapogundua kuna ISHARA ya MIONZI YA KINYUKLIA kwenye anga ya URUSI.

Makombora haya hayabebi MLIPUKO ndani yake bali yana PROGRAM maalum ndani yake. PROGRAM hii husambaza TAARIFA kwenye VITUO vya MAKOMBORA YA NYUKLIA ambavyo vipo sehemu tofauti za nchi ya URUSI na kisha MAKOMBORA YA KINYUKLIA ambayo yapo kwenye hivyo vituo, huruka yenyewe bila KUHITAJI usaidizi wa BINADAMU na kuanza SAFARI yalipoelekezwa husasani nchi za MAGHARIBI.

KWA KIFUPI MFUMO HUU UKIANZA KUFANYA KAZI HAKUNA NAMNA YA KUUZUIA. NA HII NDIO SABABU IMEKUWA NGUMU KWA WAMAREKANI NA NCHI ZA MAGHARIBI KUINGILIA VITA INAYOENDELEA KATI YA URUSI NA UKRAINE.DEAD HAND au MKONO WA MFU ni mojawapo ya MIFUMO HATARI NA YA KUTISHA sana iliyotumiwa wakati wa ENZI YA VITA BARIDI kati ya MATAIFA YA MAGHARIBI NA UMOJA WA KISOVIET ulioongozwa na URUSI. Mfumo huu umeundwa huko URUSI kwa ajili kurusha makombora ya NYUKLIA wenyewe bila kuhitaji usaidizi wa BINADAMU. Mfumo huu ufanya kazi wenyewe pindi unapohisi kuna shambilio la KINYUKLIA dhidi ya URUSI.

Kwa hiyo,  hata kama kutakuwa na SHAMBULIZI la KINYUKLIA la kushtukiza dhidi ya URUSI na kisha viongozi wote wa juu wa URUSI wakafa kwenye shambilio hilo, mfumo huu utaweza kuhisi viongozi wa juu wa URUSI wamekufa, na hivyo utarusha MAKOMBORA YA NYUKLIA wenyewe bila kusubiri au kupewa AMRI na BINADAMU. Mfumo huu unaweza kuhisi viongozi hao wamekufa kutokana na CHIP au Kadi za komputa ambazo zimefungwa kwenye MIILI ya VIONGOZI wakuu wa URUSI, pindi zinapoacha kufanya kazi kutokana na mwili wa mwenye CHIP au Kadi kuwa umekufa.

Kwa kifupi,  DEAD HAND hufanya kazi Kwa kurusha MAKOMBORA MAALUM yanayojulikana kama SS-17 pindi unapogundua kuna ISHARA ya TETEMEKO la mlipuko wa NYUKLIA kwenye ardhi ya URUSI au unapogundua NJIA za MAWASILIANO muhimu kwenye NCHI zimeharibiwa kwa shambulio, au vilevile unapogundua kuna ISHARA ya MIONZI YA KINYUKLIA kwenye anga ya URUSI.

Makombora haya hayabebi MLIPUKO ndani yake bali yana PROGRAM maalum ndani yake. PROGRAM hii husambaza TAARIFA kwenye VITUO vya MAKOMBORA YA NYUKLIA ambavyo vipo sehemu tofauti za nchi ya URUSI na kisha MAKOMBORA YA KINYUKLIA ambayo yapo kwenye hivyo vituo, huruka yenyewe bila KUHITAJI usaidizi wa BINADAMU na kuanza SAFARI yalipoelekezwa husasani nchi za MAGHARIBI.

KWA KIFUPI MFUMO HUU UKIANZA KUFANYA KAZI HAKUNA NAMNA YA KUUZUIA. NA HII NDIO SABABU IMEKUWA NGUMU KWA WAMAREKANI NA NCHI ZA MAGHARIBI KUINGILIA VITA INAYOENDELEA KATI YA URUSI NA UKRAINE.

 - Chanzo (MAKALA ZA DEFENCE UPDATES)

Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA KWA WATOTO

SERIKALI YAHAKIKISHA USAFIRI BORA BRT AWAMU YA PILI

RAIS WA CABO VERDE ASISITIZA UTAWALA BORA NA ULIPAJI FIDIA KWA AFRIKA KATIKA UFUNGUZI WA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA