WAANDAMANAJI WA URUSI WAKUSANYIKA KATIKATI YA MJI ALIOZALIWA PUTIN
Waandamanaji wa Urusi wamekusanyika katikati mwa St. Petersburg Urusi kupinga hatua ya Vladimir Putin katika mji aliozaliwa Rais Vladimir Putin huko Saint Petersburg.
Maelfu ya raia wa Urusi wamesimama na Ukraine wakikabiliwa na hatari kubwa kwa usalama wao, wakitaka kukomeshwa mara moja kwa uvamizi wa Urusi.
Wakati huo huo, Waandamanaji huko Moscow, ripoti inasema takriban raia 1,800 wa Urusi tayari wamekamatwa, na kuzuiliwa.
Comments