DKT SAMIA AMKUMBUKA IGP MSTAAFU SAID MWEMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania- (IGP) mstaafu, Said Ally Mwema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN). 


Aidha IGP mstaafu Mwema anachukua nafasi ya Hab Mkwizu aliyemaliza muda wake. Taarifa za uteuzi huo zimetolewa leo Novemba 27, 2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyanga.

Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA KWA WATOTO

SERIKALI YAHAKIKISHA USAFIRI BORA BRT AWAMU YA PILI

RAIS WA CABO VERDE ASISITIZA UTAWALA BORA NA ULIPAJI FIDIA KWA AFRIKA KATIKA UFUNGUZI WA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA