HAKIKI NAMBA YAKO KUNA NIDA ZIMESAJILI NAMBA ZA WAHALIFU


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa amewataka Wananchi kuhakiki namba zao za simu walizosajili katika vitambulisho vyao vya Nida ili kuepuka wahalifu kuzitumia.


Kadhalika Waziri Silaa amewataka wananchi kutumia namba 100 kupata huduma za simu na si vinginevyo.

Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA KWA WATOTO

SERIKALI YAHAKIKISHA USAFIRI BORA BRT AWAMU YA PILI

RAIS WA CABO VERDE ASISITIZA UTAWALA BORA NA ULIPAJI FIDIA KWA AFRIKA KATIKA UFUNGUZI WA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA