JE? WAIJUA MLANGO WA KUZIMU?"A DOOR TO HELL"?
Huko nchini Turkmenistan Wanasayansi waliwahi kuwasha moto shimo lililojaa Gesi Asilia Inayowaka Moto tangu 1971, wakitarajia kuwa ingewaka kwa siku chache tu lakini Shimo hilo limekuwa likiungua kwa jumla ya miaka 53 hadi sasa. Shimo hilo la moto linaitwa "Mlango wa Kuzimu".(A door to hell) na limegeuka kuwa kivutio.Itaendelea.......

Comments