MWANAMZIKI MKONGWE KING KIKII AMEFARIKI DUNIA
TANZIA: Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu King Kikii amefariki dunia.
King Kikii ameugua kwa muda mrefu, na amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 15, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Miongoni mwa nyimbo za King Kikii zilizotamba sana ni Kitambaa Cheupe.
#R.I.P #zilipendwa #mziki
#music

Comments