ZIARA YA KIKAZI POLISI USALAMA WA RAIA


 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) John Imori tarehe 22 Novemba 2024 alitembelea  Wilaya ya Nachingwea ikiwa ni ziara ya kawaida ya kazi.


Aidha ACP Imory alitembelea ofisi ya upelelezi wa makosa ya jinai na kuzungumza na Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai Wilaya Nachingwea ASP Fanuel Milinga.


Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa na utaratibu wa kutembelea sehemu mbali mbali katika kuimarisha usalama wa raia nchini.

Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA KWA WATOTO

SERIKALI YAHAKIKISHA USAFIRI BORA BRT AWAMU YA PILI

RAIS WA CABO VERDE ASISITIZA UTAWALA BORA NA ULIPAJI FIDIA KWA AFRIKA KATIKA UFUNGUZI WA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA