URUSI INAANDAA MASHAMBULIZI MAKUBWA YA KULIPIZA KISASI KWA UKRAINE
Urusi imetangaza mipango ya kufanya mashambulizi makubwa ya kulipiza kisasi dhidi ya Ukraine kufuatia matumizi ya silaha za masafa marefu zinazotolewa na Magharibi.
Putini amesema hayo leo Desemba 11, 2024 Katika tamko rasmi, serikali ya Urusi imesema:
“Shambulio hili la silaha za masafa marefu za Magharibi halitakosa jibu, na hatua zinazofaa zitachukuliwa.”alisema Putin
Tangazo hili linaongeza mvutano mkubwa katika vita vinavyoendelea, huku kukiwa na hofu ya kuongezeka kwa machafuko katika kanda hiyo.

Comments