BREAKING NEWS🚀: TIKTOK KUFUNGWA MARA MOJA NCHINI MAREKANI JUMAPILI!
Serikali ya Marekani imetangaza kuwa marufuku ya TikTok itaanza kutekelezwa Jumapili, na programu hiyo itafungwa mara moja. Hatua hii inatokana na masuala ya usalama wa taifa, ambapo mamlaka za Marekani zimedai kuwa data za watumiaji ziko hatarini.
Hatua hii inatarajiwa kuathiri watumiaji mamilioni nchini humo, huku mjadala mkali ukiendelea kuhusu athari za kiuchumi na kijamii.

Comments