TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira inawatangazia waombaji kazi wa Kada za Ualimu kuwa usaili utaanza 14 Januari 2025 hadi 24 Februari 2025.
MUHIMU:
• Ratiba ya Usaili: Tovuti www.ajira.go.tz.
• Eneo la Usaili: Katika mikoa wanayoishi waombaji.
Kuhusu Nyaraka:
Vyeti vya taaluma na kuzaliwa.
• Kitambulisho halali kama NIDA au hati ya kusafiria.
• Mwisho wa Kuhakiki Makazi: 06 Januari 2025, kupitia Ajira Portal.
Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti au wasiliana na ofisi husika.


Comments