TIKTOK YAPIGWA MARUFUKU KATIKA NCHI MBALIMBALI 9


  TikTok, jukwaa maarufu la video, leo jumapili Januari 19, 2025 limepigwa marufuku kwa kusitisha rasmi matumizi katika baadhi ya nchi kutokana na masuala ya usalama na udhibiti wa mtandao. Nchi zilizochukua hatua hii ni pamoja na: Afghanistan 

China 

India 

Iran

  Yordani 

Kyrgyzstan

  Korea Kaskazini

  Somalia

  Uzbekistan

  Marekani 

 Nchi nyingi zimetaja masuala kama usalama wa data, ushawishi wa kisiasa, na athari za kijamii kama sababu za kupiga marufuku matumizi ya TikTok, huku baadhi zikidai kwamba inahatarisha usalama wa kitaifa. Hata hivyo, jukwaa hili bado linapokelewa vizuri katika baadhi ya maeneo, likihusishwa na uhamasishaji wa ubunifu na biashara kwa watumiaji.

Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA KWA WATOTO

SERIKALI YAHAKIKISHA USAFIRI BORA BRT AWAMU YA PILI

RAIS WA CABO VERDE ASISITIZA UTAWALA BORA NA ULIPAJI FIDIA KWA AFRIKA KATIKA UFUNGUZI WA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA