TRUMP AKOMESHA UPUUZI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA, ASEMA NDIYO CHANZO CHA MOTO LOS ANGELES
Trump aliendelea kusema kuwa mtu yeyote atakayekutwa akipiga busu mwanaume mwenzake au mwanamke mwenzake hadharani atachukuliwa hatua kali za kisheria. Aidha, alitangaza kuwa watengenezaji wa filamu zinazohusiana na mapenzi ya jinsia moja watalazimika kulipa ushuru wa ziada kwa maudhui hayo.
Ikumbukwe kuwa mapenzi ya jinsia moja yalipewa nguvu kubwa chini ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Joseph Robinette Biden Jr., huku aliyekuwa Makamu wake, Kamala Devi Harris, akihimiza ajenda hiyo barani Afrika. Harris alihusishwa na kampeni za kueneza maadili hayo kupitia mikutano mbalimbali barani humo, ikiwemo usambazaji wa vitabu vyenye maudhui yanayokinzana na maadili ya familia za Kiafrika.
Katika hotuba yake ya uzinduzi, Trump alieleza kwamba hatua hizo zinahitajika ili kulinda kizazi kijacho dhidi ya mmomonyoko wa maadili, akisisitiza kuwa sera za Biden zilichangia kushamiri kwa hali hiyo kupitia mipango yake ya kimataifa isiyo na mipaka.
Trump ameahidi kurejesha maadili ya kimila na kidini kama nguzo muhimu ya maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla, akisema kuwa maadili hayo ndiyo msingi wa kujenga familia imara na jamii yenye maelewano.

Comments