BREAKING NEWS: RAIS WA KIJESHI WA MALI AWAFUNGA MAWAZIRI 11 KWA UFISADI
Rais wa kijeshi wa Mali amewatia mbaroni watu 11 wakiwemo mawaziri wa zamani, kwa kosa la kufuja zaidi ya Bilioni 80 za CFA.
Katika hotuba yake kwa wananchi, Rais huyo alifichua kuwa fedha hizo zilikuwa za watu maskini, zilikusudiwa kutumika kuendeleza taifa, lakini kwa sababu ya tamaa na uchoyo, viongozi hao walizitumia kwa maslahi yao binafsi.
Kwa sasa, wote waliohusika wako gerezani wakikabiliwa na mashitaka ya ufisadi mkubwa wa mali ya umma.

Comments