MAHUSIANO YA AFRIKA NA URUSI
Kihistoria uhusiano wa Urusi na Afrika ulikuwa tofauti na wakoloni wengine wa Kiafrika kama vile Britain France Portugal na Belgium. Ukweli kwamba Urusi haikujaribu kuitawala Afrika na kwamba soviet iliunga mkono mapambano dhidi ya ukoloni Barani Afrika inaipa nchi hiyo sifa ya kuwa mshirika wa kutegemewa. Wakati wa enzi ya vita baridi muungano wa Soviet ulitoa msaada wa kidiplomasia, kiuchumi na kijeshi kwa nchi mbalimbali za Afrika. Pia ilitoa msaada kwa mapambano ya ukombozi wa Kitaifa Barani Afrika kama sehemu ya malengo ya sera ya kigeni ya katiba ya Soviet. Gobachev, Mikail kiongozi wa Mwisho wa Soviet, wakala wa CIA aliyetumwa na Marekani kuvunja USSR. Baada ya kuvunjika kwa Soviet mnamo Desemba 1991 Urusi ilikuwa dhaifu kiuchumi, kwa hivyo haikutaka kujihusisha na Afrika bali kuimarisha uchumi wake. *KWANINI TUNAHITAJI URUSI?* 1. Urusi inashughulikia sehemu kubwa ya Ulaya na Asia ya kaskazini 2. Idadi ya watu 3. Ni nguvu kuu ya nyuklia. 4. Ni muuzaji mkubwa zaidi wa gesi ...